Halmashauri ya Mji Kibaha ina Viwanda Vikubwa na Vidogo.
Viwanda vikubwa ni kama vya Kutengeneza Nondo, Usindikaji wa Unga wa Sembe,Sementi,Gypsum,Dawa za Kuua Mazalia ya Mbu,Usindikaji wa Nyama ya Kuku na vinginevyo.
Aidha,vipo viwanda vidogo vidogo vya ubanguaji wa Korosho,Utengenezaji wa Manukato,Sabuni,Dawa za Kuondoa harufu Maliwatoni na vinginevyo.
Kibaha Town Council
Anuani ya Posta: P.0.Box 30112
Simu: 023 240 2938
Simu ya Kiganjani: Mkurugenz0715390421
Barua Pepe: td.kibaha@pwani.go.tz & td@kibahatc.go.tz. SIMU: Afisa Mipango Miji: 0754002729 & Afisa Ardhi: 0767506970
Haki Zote Zimahifadhiwa