Wednesday 24th, April 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Mji Kibaha
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Bi. Jenifa Omolo, akifungua Mafunzo ya CHF iliyoboreshwa, DHFF na Upatikanaji wa dawa(JAZIA) kwa Watumishi wa Idara ya Afya na wenyeviti wa kamati za afya za vituo vya afya na Zahanati katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya mji kibaha. Mafunzo haya yatafanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 08/05/2018 hadi 10/05/2018.
Haki Zote Zimahifadhiwa