Timu ya kibaha Veterans jana iliweza kushinda mchezo wake wa tatu mfululizo kwa kuichabanga Kiluvya United Mabao Matatu kwa sifuri.