Mwenge wa Uhuru Mwaka 2017 bado unaendelea kukimbizwa Mkoani Pwani leo hii june , 06
Ukiwa Halmashauri ya Mji Kibaha. Aidha , ukiwa Katika Halmashauri hii Utapita Jumla ya Miradi 10
yenye thamani ya Shilingi 13,779,965,302.00.
Kesho Jumatano Mwenge wa Uhuru 2017, utaendelea Kukimbizwa Kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha
kabla ya Kukabidhiwa Wilayani Bagamoyo Hapo juni 8.
Mkoa wa pwani Unategemea Kuhitimisha kwa Kukimbiza Kwenye Wilaya Mpya ya Chalinze hapo Juni 9 na baadaye Kuukabidhi Mkoa wa Morogoro Juni 10.
Haki Zote Zimahifadhiwa