Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha anawatangazia Wananchi wote kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara wa kuuza magari chakavu ya Halmashauri ya Mji Kibaha utakaofanyika eneo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani na Ofisi ya Polisi (W) Kibaha siku ya Alhamisi tarehe 14/06/2018 kuanzia saa 5:00 asubuhi. Orodha ya mali hizo zimeainishwa katika jedwali hapa :Bofya hapa TANGAZO LA MNADA.pdf
Haki Zote Zimahifadhiwa