Halmashauri ya Mji Kibaha inawakaribisha wadau na wafanyabiashara ya nyama ya Ng’ombe kwenye mnada wa Ng’ombe uliopo Mtaa wa Mtakuja Kata ya Pangani. Mnada hufanyika kila siku ya ALHAMISI, kuanzia tarehe 06 machi 2025.
Karibuni wote.
Haki Zote Zimahifadhiwa