Mh .DC Akitoa vyeti kwa wadau wenye huduma bora za Hotel Mji kibaha
Tuesday 18th, March 2025
@KIBAHA MAILIMOJA
Mkuu wa wilaya ya kibaha Mh .Nickson Simon John akitoa vyeti Maalumu kwa kampuni ya Admine na National Oil kutambua Wepesi wao wa kulipa kodi kwa wakati.