• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Miradi ya bilioni 11 yakaguliwa Kibaha Mji

Friday 13th, December 2019
@Kibaha Mji Makao Makuu

Na Innocent Byarugaba, Kibaha

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe. Leonard Mlowe amewaongoza Madiwani na wataalam kukagua miradi yenye thamani ya Tsh.11,069,500,000.00 iliyotekelezwa katika robo ya kwanza kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020.

Miradi hiyo ni vyumba 2 vya madarasa shule ya msingi Visiga vyenye thamani ya tsh.25,000,000.00, Madarasa 2 yenye thamani ya tsh. 29,000,000.00 shule ya msingi Madina, Zahanati ya Msangani yenye thamani ya tsh.154,000,000.00 na Bungo shule ya Msingi inayojenga vyumba 2 vya madarasa kwa tsh.32,000,000.00

Miradi mingine ni ujenzi wa hospitali ya Wilaya yenye thamani ya tsh.1,500,000,000.00, Soko kubwa la kisasa lenye thamani ya Tsh.8,000,000,000.00, Vyumba 4 vya madarasa shule ya msingi Kidimu yenye thamani ya Tsh.50,000,000 na jengo la wajasiliamali lenye thamani ya tsh.170,000,000.00

Aidha, halmashauri inajenga machinjio ya kisasa kwa gharama ya Tsh.804,500,000.00, Zahanati ya Bokotimiza ambayo mpaka sasa imetumia kiasi cha Tsh.60,000,000.00, ujenzi wa bweni shule ya sekondari Mwanalugali na samani zake kwa tsh.180,000,000.00, ukarabati wa shule ya Msingi Mkoani uliogharimu kiasi cha Tsh.15,000,000.00 na ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa shule ya Msingi Maendeleo yenye thamani ya Tsh.50,000,000.00

Makamu mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Omari Bura amewataka wataalam kuendelea kusimamia miradi hiyo kwa ukaribu ili iwe na tija kwa wananchi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Jenifa Omolo amesema halmashauri hiyo imekuwa ikitekeleza miradi yake kwa kufuata ushauri wa kitaalam, Sheria, kanuni na taratibu zote ili kuhakikisha mradi unaotekelezwa unalingana na thamani ya fedha ili utumike kwa kizazi cha sasa na baadaye.

Ukaguzi wa miradi kwa robo ya kwanza ni kiashiria kuwa sasa tunaingia robo ya pili itakayotufikisha katikati ya mwaka wa fedha 2019/2020.


Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WOTE September 10, 2019
  • Tangazo kwa wafanyabiashara Walioshindwa kukamilisha Ujenzi wa Fremu September 12, 2019
  • Majina na Mipaka ya Mitaa iliyopo Katika Eneo la Halmashauri ya Mji Kibaha September 13, 2019
  • Maelekezo_Uchaguzi wa serikali za Mitaa September 23, 2019
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Ushindi wa nanenane Raha!

    August 08, 2019
  • Kibaha Mji yatembelewa na Katibu Mkuu katika maonesho ya Nanenane Morogoro.

    August 07, 2019
  • Hatimaye Miradi yote Kibaha Mji yazinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2019.

    July 29, 2019
  • Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019

    July 01, 2019
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

    Kibaha Town Council

    Anuani ya Posta: P.0.Box 30112

    Simu: 023 240 2938

    Simu ya Kiganjani: Mkurugenz0715390421

    Barua Pepe: td.kibaha@pwani.go.tz & td@kibahatc.go.tz. SIMU: Afisa Mipango Miji: 0754999923 & Afisa Ardhi: 0713957639

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa