Majukumu Muhimu ya Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
- Kusimamia Manunuzi ya Bidhaa na Huduma Pamoja na Uuzaji wa Vifaa vichakavu kwenye Taasisi kwa Mujibu wa Sheria ya Manunuzi 7,2011 na Kanuni zake 446.2013
- kuwezesha Bodi ya Zabuni Halmashauri ya Mji kutekeleza Majukumu yake.
- kusimamia na kutekeleza Maagizo na Ushauri wa Bodi ya Zabuni.
- kufanya kazi za Sekretarieti kwenye vikao vya Bodi ya Zabuni.
- kuandaa na kusimamia Mpango wa Manunuzi wa Halmashauri ya Mji.
- kutoa Mapendekezo ya taratibu Sahii za kufuatwa wakati wa Manunuzi na Uuzaji wa vifaa vichakafu.
- kuandaa Makabrasha ya Zabuni na Matangazo ya Zabuni
- kuandaa Mikataba yote ya Wakandarasi na Watoa Huduma waliopatikana kwa njia ya Nanunuzi.
- kutoa Mikataba iliyohakikiwa na Mwanasheria kwa Wazabuni na watoa Huduma.
- kuweka kumbukumbu sahii za Manunuzi yote pamoja na Uuzaji wa vifaa vichakavu.
- kuweka kumbukumbu sahii ya kila Mikataba na Usimamizi wake.
- kuandaa Taarifa ya Manunuzi ya Mwezi na kuwasilisha kwenye vikao vya Bodi ya Zabuni.
- kuandaa Taarifa ya Manunuzi ya kila Robo Mwaka na kuwasilisha kwenye vikao vya Menejimenti ya Halmashauri ya Mji.
UFUPISHO WA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018
NO.
KUNDI
IDADI YA ZABUNI
GHARAMA YA ZABUNI
1
BIDHAA
15
977,516,200
2
KAZI ZA UJENZI
46
8,220,216,970
3
WAJENZI WASHAURI
2
318,545,000
4
KAZI ZA HUDUMA
10
315,373,600
JUMLA YA BUDGETI KWA MPANGO WA MANUNUZI
73
9,831,651,770
Haki Zote Zimahifadhiwa