• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Madiwani Manispaa ya Kibaha wafanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo, waridhishwa.

Posted on: January 19th, 2026

MADIWANI KIBAHA WAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA 4


Waheshimiwa Madiwani wa Kamati ya Mipango Miji na Mazingira pamoja na Kamati ya Uchumi na Huduma za Jamii za Manispaa ya Kibaha wamefanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Kata 4 za Manispaa hiyo.

Ziara hiyo iliongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Mawazo Ginhu Nicas, ambapo Madiwani hao walitembelea na kukagua Mradi wa Dampo la Misugusugu, Ofisi za Taasisi zilizopimwa na kupewa hati, Zahanati ya Misugusugu, Ofisi ya Kata ya Visiga pamoja na Shule ya Msingi Maili 35.


Aidha, kamati hizo pia zilikagua miradi ya ujenzi wa Shule ya Awali na Msingi Mwalimu Nyerere  Kata ya Sofu, pamoja na Shule ya Awali na Msingi Mwambisi, miradi ambayo ipo katika Kata ya Kongowe.


Akizungumza mara baada ya ziara hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Mawazo Ginhu Nicas, amesema kuwa kamati hizo zimeridhishwa na utekelezaji wa miradi yote waliyoikagua, na kupongeza juhudi zinazofanywa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, pamoja na timu ya wataalamu kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.


“Tumejionea kazi nzuri iliyosimamiwa kwa weledi mkubwa. Hakika Manispaa imepiga hatua kubwa ya maendeleo, ikiwemo kupima maeneo ya taasisi na kuyapatia hati, jambo linaloimarisha usalama wa mali za umma na kuweka mazingira bora ya utoaji wa huduma kwa wananchi,” amesema Dkt. Nicas.


Ameongeza kuwa Manispaa itaendelea kusimamia kwa karibu miradi yote ya maendeleo ili kuhakikisha inakamilika kwa viwango vinavyokubalika na kuwanufaisha wananchi wa Manispaa ya Kibaha.

Matangazo

  • Tangazo la Kazi Halmashauri ya Manispaa Kibaha November 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Madiwani Manispaa ya Kibaha wafanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo, waridhishwa.

    January 19, 2026
  • Dc Kibaha afungua mafunzo ya Madiwani yanayotolewa na Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo

    January 14, 2026
  • Manispaa ya Kibaha yafungua shule mbili za mchepuo wa kiingereza

    January 12, 2026
  • Mhe Dkt Mawazo Ginhu Nicas achaguliwa kuwa Mstahiki Meya Manispaa ya Kibaha

    December 04, 2025
  • Tazama Zote

Video

TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA MANISPAA YA KIBAHA
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa