MAJUKUMU YA MKUU WA IDARA YA MAZINGIRA
- Kusimamia shughuli zote za idara.
- Kusimamia sheria ndogo ya Mazingira na kuwashauri wanakikundi kushikamana kiutendaji
- Kukusanya na kuchambua taarifa mbalimbali zinazo husu usimamizi wa hifadhi ya Mazingira
- Kutoa Elimu kuhusu utekelezaji wa sheria ndogo na sheria zote za Mazingira
- Kufuata utafiti kuhusu usimamizi wa hifadhi na Mazingira [upimaji na ufatiliaji wa Mazingira katika shughuli mbali mbali za maendeleo..
- Kufatilia utekelezaji wa sera na sheria nyingine udhibiti wa uchafuzi wa ardhi,maji,hewa na sauti
- Kusimamia usafishaji wa Mazingira kama vile kufyeka,pandamiti,majani,maua na nyasi na kupaka rangi majengo.
- Kufanya kazi zingine utakazo pangiwa kulingana na uwezo wa taaluma yako
TUMAINI B. KAYILA
K.n.y. MKURUGENZI WA MJI
KIBAHA
Haki Zote Zimahifadhiwa