KITENGO CHA UCHAGUZI NA UTAWALA BORA
Majukumu ya Kitengo
- Kuratibu na kusimamia na kusimamia shughuli zote za Uchaguzi.
- Kufuatilia na kuainisha nafasi wazi za viongozi wa kuchaguliwa na kusimamia ujazwaji kwa kufanya Uchaguzi mdogo kwa mujibu wa sharia.
- Kiungo kati ya Msimamizi wa Jimbo la uchaguzi Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa juu Uchaguzi.
- Kutoa mafunzo, maelekezo na miongozo mbalimbali ya Utawala bora kwa viongozi wa kuchaguliwa, wananchi na watumishi wa umma.
- Kuratibu usajili wa wakazi kwenye Rejesta za wakazi katika mitaa.
- Kuratibu na kusimamia ufanyikaji wa vikao na mikutano ili kukuza na kuimarisha demokrasia na misingi ya utawala bora.
- Kuratibu mchakato wa maombi mapya ya usajili wa Kata na Mitaa mipya.
- Kupokea na kusajili malalamiko, kero,maoni kupitia dawati la huduma kwa wateja,kuyachambua na kuyawasiliosha kwenye idara/kitengo husika na kwenye kikao cha menejimenti (CMT) kwa hatua za utekelezaji.
- Kiungo kati ya Msimamizi wa Jimbo la Uchaguzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
- Msimamizi mkuu wa shughuli zote za kitengo cha Uchaguzi,Utawala bora na Huduma kwa Wateja.
Saidi Mshamu Kayangu
KAIMU AFISA UCHAGUZI NA UTAWALA BORA
HALMASHAURI YA MJI KIBAHA
Haki Zote Zimahifadhiwa