Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhandisi Mshamu A.Munde anawatangazia wananchi kuwa Halmashauri ya Mji Kibaha kwa kipindi cha Mwezi Julai imepokea fedha za ruzuku kiasi cha shilingi 242,492,000.00 kwa ajili ya Matumizi mengineyo.
Aidha,mchanganuo ni kama ifuatavyo;
1.Ujenzi OC -2,547,000
2.Elimu Msingi OC-6,209,000
3.Elimu Msingi uhamisho -26,800,000
4.Elimu Sekondari OC-5,817,000
5.Elimu Sekondari uhamisho-54,600,000
6.Utawala OC-8,855,000
7.Kilimo OC-3,854,000
8.Afya OC-10,841,000
9.Afya On call allowances 2,570,000
10.Posho ya Mawasiliano kwa wenyeviti wa Mitaa-730,000
11.Uratibu wa huduma za fedha(Maendeleo ya Jamii)-2,158,000
12.Stahili za Viongozi-9,800,000
13.Uhamisho,likizo kwa Watumishi wasio walimu-30,051,000
14.Kuhamia Elimu Msingi-51,660,000
15.Moving Expenses -26,000,000
Kazi iendelee
Imetolewa na;
Byarugaba Innocent J,
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Haki Zote Zimahifadhiwa