• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BOOST YATUMIA ZAIDI YA BILIONI 1.2 KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU KIBAHA

Posted on: September 19th, 2023

Na Byarugaba Innocent,Kibaha

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Dkt.Samia Suluhu Hassan imejenga shule za Msingi mpya mbili,Madarasa 13 na Matundu ya Vyoo 21 kwenye shule 8 za Halmashauri ya Mji Kibaha Mkaoni Pwani zilizogharimu shilingi 1.280,300,000 kupitia Mradi wa BOOST.

Shule mpya zilizojengwa ni Kongowe na Miembesaba zote zikiwa Kata ya Kongowe kwa shilingi 950,600,000 zikihusisha miundombinu yote ya  muhimu  wakati wa kuanzisha shule mpya na kiasi cha shilingi 332,400,000 zikitumika kujenga madarasa 13 na matundu ya Vyoo 21 kwenye shule 6 Kongwe

Alice Gombanila ni Afisa Elimu takwimu na vielelezo Halmashauri ya Mji Kibaha amesema Serikali kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI ilifanya uamuzi sahihi kuleta mradi wa BOOST kwani kwa madarasa 13 yaliyojengwa zaidi ya Wanafunzi 585 wamepata mahali bora pa kusomea

Aidha,Afisa Elimu Msingi na Awali wa Halmashauri ya Mji Kibaha Bernadina Kahabuka amemshukuru Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza shule mpya mbili zinazolenga kupunguza Msongamano kwenye shule za Kata ya Kongowe na Kata jirani kwani Madarasa mapya 32 yanakwenda kuwanufaisha zaidi ya watoto 1440 wakati wa masomo hivyo kuboresha Mazingira na kujifunza na ujifunzaji

Protas Dibogo ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha ameeleza kuwa kazi ya ujenzi na usimamizi wa mradi wa BOOST ilifanywa Mchana na usiku kwa kuzingatia muda,ubora na thamani ya fedha ili kutimiza ndoto za Mhe.Rais Samia hivyo ametoa rai kwa wanafunzi na walimu kuitunza miundombinu hiyo ili itumike kwa kizazi kilichopo na kijacho kwa maslahi mapana ya Taifa na Dunia kwa ujumla


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe.Mussa Ndomba kwa niaba ya wananchi amemshukuru na kumtakia afya njema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili aendelee kuwaongoza  vema Watanzania.

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA HOSPITALI YA MJI KIBAHA

    June 27, 2025
  • WANANCHI KATA YA MBWAWA NA VISIGA WAPEWA ELIMU YA BIASHARA,NA UMUHIMU WA KODI KWA MAENDELEO,

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA WAKIPEWA ELIMU YA MFUMO WA USAJIRI WA MAJENGO ODK

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI KIBAHA IMEVUNJA RASMI BARAZA LA MADIWANI JUNI 17,2025

    June 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa