• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA UKIMWI KIBAHA MJI YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO KIGOMA UJIJI...

Posted on: September 19th, 2023

Na Byarugaba Innocent,Kigoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudhibiti UKIMWI,Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe.Fokas Bundala ameiongoza Kamati yake kufanya ziara ya Mafunzo Manispaa ya Kigoma Ujiji ili kupata uzoefu wa namna bora ya kupambana na kukabiliana na HIV-UKIMWI kuendelea kuwalinda Watanzania dhidi ya maambukizi Mapya

"Manispaa ya Kigoma Ujiji yenye Kata 19,Mitaa 68 na idadi ya watu 322,524 kwa mujibu wa sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 inashabihiana kwa karibu na Halmashauri ya Mji Kibaha yenye Kata 14,Mitaa 73 na Idadi ya watu 267,000 hivyo kuwa sehemu sahihi ya kujifunzia ili kupata Maarifa mapya " ameeleza Bundala

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe.Mussa Ndomba amesema hali ya maambukizi Kibaha inafikia wastani wa asilimia 5.5 zaidi ya 4.7 ya  wastani wa Kitaifa hivyo kujifunza Manispaa ya Kigoma Ujiji yenye wastani wa 2.9 kutaketa tija ya kupata mbinu mpya zitakazoboreshwa ili ziendane na Mazingira ya Pwani

Bi.Petronila Gwakila,Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji amefurahishwa na ziara hiyo na kwamba taswira nzuri kwa Watanzania kuwa wanafanyakazi vema baina ya Wahe.Madiwani,Kamati na wataalam kwani kati ya Halmashauri 184 nchini,inatia faraja kuchaguliwa kama sehemu ya kujifunzia hivyo ametoa rai kwa kamati kuongeza kasi zaidi.

Kamati ya Kudhibiti UKIMWI huundwa na Wahe.Madiwani,Wawakilishi wa Madhehebu ya dini,wenye ulemavu,Vijana,Wazee, asasi za kiraia, watu wanaoishi na maambukizi pamoja na wataalam

Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ZOEZI LA MABORESHO YA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA MEI 16 KIBAHA TC

    May 09, 2025
  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa