Na Byarugaba Innocent
Jumla ya vyumba 38 vya Madarasa vilivyogharimu kiasi cha Milioni760 vimekamilika vilivyokuwa vikijengwa ndani ya Halmashauri ya Mji Kibaha vimekamili.
Vyumba hivyo vyenye uwezo wa kubeba wanafunzi 1900 kati ya 4806 waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza 2023 vipo tayari kwa matumizi mara tu shule zitakapofunguliwa Januari 9,2023.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhandisi Mshamu Munde amewapongeza wote waliofanikisha ujenzi huo na kufanya ukamilike kwa wakati.
Aidha,Munde ameishukuru Serikali ya Awamu ya siti chini ya uongozi Makini wa Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya Elimu ili kurahisisha ujifunzaji na ufundishaji
Haki Zote Zimahifadhiwa