• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA WA PWANI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA KWA KUVUKA MALENGO KWENYE UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: June 16th, 2025

MKUU WA MKOA WA PWANI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA KWA KUVUKA MALENGO KWENYE UKUSANYAJI WA MAPATO.


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, Amelipongeza Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji kibaha kupitia Mkurugenzi wake Dkt Rogers Shemwelekwa kwa kazi nzuri ya Ukusanyaji wa Mapato na Kutekeleza miradi ya Maendeleo iliofanyika kwa kipindi cha mwaka 2024/2025.


Kunenge Ameyasema hayo Juni 16,2025 wakati akizungumza katika kikao maalumu cha Baraza la Madiwani kwa ajili ya kujibu hoja za (CAG) kikao ambacho kimefanyika katika Halmashauri ya Mji kibaha


Amesema Halmashauri ya Mji wa kibaha Chini ya Mkurugenzi Dkt Rogers Shemwelekwa kwa kipindi cha Muda mfupi Imefanikiwa Kutekeleza miradi Mingi ya Maendeleo kama Soko la kisasa ( Kibaha shopping Mall) , Ujenzi wa Shule 2 za mchepuo wa kingereza , Ujenzi wa Zahanati ya Kilimahewa, Ujenzi wa wodi ya kisasa ya Wazazi katika Hospital ya Mji kibaha -Lulanzi.


Aidha , Mh Kunenge amesisitiza Madiwani pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Mji kibaha Kutumia 4R za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ili kutusaidia katika Kufanya kazi kwa Ueledi na Kwa Maslai ya Taifa kwa Ujumla .


Kwa upande wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji kibaha Amesema  ukiwa kiongozi lazima uchague vitu vya kuvifanyia kazi ili kukomesha changamoto ndogondogo zinazoweza kujitokeza sehemu ya kazi. Pia amewashukuru Wakurugenzi wote aliofanya nao kazi kipindi cha mwaka 2020/2025


Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA PWANI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA KWA KUVUKA MALENGO KWENYE UKUSANYAJI WA MAPATO

    June 16, 2025
  • MWENYEKITI (UWT) ,MARY CHATANDA ARIDHISHWA NA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA

    June 15, 2025
  • HALMASHAURI YA NJI KIBAHA KUELEKEA SIKU YA MTOTO WA AFRICA IMETOA MSAADA WA VIFAA VYENYE THAMANI YA TSH 2,720,000 KWAWATOTO WENYE ULEMAVU SHULE YA MSINGI KONGOWE

    June 14, 2025
  • MAAFISA WA TAKUKURU WATOA ELIMU YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA

    June 10, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa