• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NAIBU WAZIRI,UTUMISHI ATETA NA WATUMISHI KIBAHA

Posted on: July 12th, 2023

Na Byarugaba Innocent,Kibaha.

Naibu Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwan Kikwete ameanza ziara rasmi ya Kikazi Mkoani Pwani ambapo Julai 10,2023 ameongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji Kibaha ikiwa niwendelezo wa kuhamasisha na kuboresha utendaji wa kazi.

Kikwete amesema Utumishi mzuri ni Chachu ya Maendeleo katika eneo unalihudumia na kuwataka watumishi kuwa wabunifu na kufanyakazi kwa weledi ili kuwaletea wananchi Maendeleo ambayo ndio dira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Aidha,Kikwete amekea vikali watumishi wanaotumia muda wa mwajiri kisemana kwa meseji za hovyo,kugombanishana,kufarakishana badala ya kufanyakazi na kwamba katika Utumishi wa umma haipendezi kwani mafanikio katika taasisi yoyote ile yanategemea watumishi walivyojipanga kufanyakazi zao kwa kushirikiana ili kuleta tija.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Abubakari Kunenge amempongeza Mhe.Kikwete kwa kufanyakikao kazi hicho wakati wa ziara yake kuzungumza na watumishi ambao ndio rasilimali watu muhimu za nchi na kuwataka watumishi kutambua haki na wajibu wao kwa Taifa.

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amesema Kibaha Mji Ina watumishi 2438 kati ya 2582 sawa na asilimia 94 ambao wamekuwa Chachu ya Mafanikio kisekta

Aidha,ameishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwapandisha vyeo watumishi 604 na kupata watumishi wa ajira mpya 63 kwa mwaka wa fedha 2022/2023 na kwamba vyeo hivyo na ajira mpya vimeamsha ari ya utendaji.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO MWAKA -2050 July 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Manispaa Kibaha aungana na wanamichezo jijini Tanga

    August 24, 2025
  • Timu ya Soka Manispaa ya Kibaha yaitandika Bila huruma Manyoni Dc

    August 18, 2025
  • CRDB Bank Yatoa msaada wa madawati 30 Viziwaziwa Sekondari, Kibaha Manispaa

    August 14, 2025
  • Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha yatoa mafunzo ya Utekelezaji wa Sera ya Elimu ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka2023

    August 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

Hospitali ya rufaa Pwani
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa