Halmashauri ya Mji Kibaha Ina jumla ya shule tatu (3) za Serikali zenye kidato cha tano na sita.
Aidha,kwa Mwaka 2023 jumla ya wanafunzi 459 waliketi kufanya Mtihani wa kuhitimu masomo ya kidato cha sita.Matokeo ni kama ifuatavyo;
1.Shule ya Sekondari Kibaha
Daraja la I-161
Daraja la II-22
2.Shule ya Sekondari Mwanalugali
Daraja la I-13
Daraja la II-23
Daraja la III-3
Shule ya Sekondari Zogowale
Daraja la I-24
Daraja la II-120
Daraja la III-91
Daraja la IV-02
Kwa shule zote tatu,hakuna mwanafunzi aliyepata daraja 0.
Haki Zote Zimahifadhiwa