• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TIMU YA MAWAZIRI WATATU YAWASILI TARIME NA SERENGETI KUTEKELEZA MAELEKEZO YA WAZIRI MKUU YA MIGOGORO YA ARDHI

Posted on: May 6th, 2023

OR -TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula pamoja na Naibu Waziri Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Masanja wamewasili  Mkoani Mara kutekeleza Maelekezo ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu ufumbuzi wa migogoro ya ardhi katika Wilaya za Tarime na Serengeti Mkoani Mara, leo tarehe 06 Mei,2023.

Waziri Mkuu alitoa maelekezo hayo bungeni Dodoma mnamo tarehe 27 Aprili, 2023 wakati akitoa ufafanuzi kuhusu changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika kusimamia masuala ya uhifadhi na namna ambavyo Serikali imekuwa ikizishughulikia.

Waziri Mkuu alielekeza timu ya Mawaziri watatu kwenda kwenye vijiji husika vyenye migogoro katika Wilaya za Tarime na Serengeti kwa lengo la kukutana na Wananchi ili kutoa elimu, ufafanuzi na kutafuta ufumbuzi wa migogoro hiyo katika vijijiji husika.

Matangazo

  • TANGAZO LA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITARI YA WILAYA LULANZI March 22, 2023
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUFANYA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 27, 2022
  • KUAHIRISHWA KWA MAFUNZO YA SENSA July 28, 2022
  • HALI YA MAKUSANYO YA HALMASHAURI KWA MIAKA KUMI MFULULIZO KUANZIA 2012-2022 August 05, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA MJI KIBAHA YAFANYA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI

    May 26, 2023
  • YALIYOJIRI MEI 13, 2023 WAKATI WA HAFLA YA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA MIRADI MIWILI YA UJENZI WA MINARA YA SIMU 758 PAMOJA NA MRADI WA KUONGEZA UWEZO WA MINARA 304 KATIKA MAENEO YA VIJIJINI

    May 15, 2023
  • WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AVIPONGEZA VILABU VYA YANGA NA SIMBA

    May 11, 2023
  • WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AVIPONGEZA VILABU VYA YANGA NA SIMBA

    May 11, 2023
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa