• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WASAIDIZI WA WALIMU JAMII WAHIMIZWA MATUMIZI YA VITABU RAHISI KATIKA VITUO VYA UTAYARI

Posted on: November 4th, 2022


OR -  TAMISEMI

Washiriki wa mafunzo ya Mpango wa Utayari wa Kumuandaa Mtoto Kwenda Shule (SRP) wametakiwa kuwahimiza Wasaidizi wa Walimu Jamii juu ya utengenezaji na utumiaji wa vitabu rahisi ili kupunguza gharama za ununuzi wa vitabu pamoja na kukidhi mahitaji ya vitabu kulingana na idadi ya watoto waliopo katika vituo vya utayari.

Kauli hiyo imebainishwa leo 03 Novemba 2022 Jijini Dodoma na Mkuza Mtaala kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania   Bi. Vida Ngowi ambae pia ni mwezeshaji katika mafunzo hayo.

Bi. Vida amesema vitabu rahisi ni vitabu vinavyotengezwa kwa kutumia malighafi mbalimbali ambazo upatikanaji wake ni rahisi sana na matumizi ya vitabu hivyo utaondoa changamoto ya upatikanaji wa vitabu katika vituo vya utayari.

" Tuendelee kuwahimiza Wasidizi wa Walimu Jamii   jinsi ya  kutengeneza na kutumia  vitabu  rahisi  ambavyo vitawajengea  watoto umahiri uliokusudiwa, na vitabu hivi sio mbadala wa vitabu vya kiada bali tunachukua yaliyomo katika vitabu vya kiada.

Nasisitiza vitabu viwe imara,vitabu vitatengezwa kwa kutumia malighafi mbalimbali zinazopatikana katika mazingira yetu mfano maboksi, manila na mengineyo" ameeleza Bi. Vida

Aidha Bi. Vida amesisitiza  juu ya ushirikishwaji wa watoto  waliopo katika vituo vya utayari wakati wa kutengeneza vitabu rahisi ,  kwa ushirikishwaji utawajengea  watoto   tabia ya  kupenda  kutengeneza vitabu wao wenyewe pamoja na umahiri wa kusoma vitabu.

Naye mwezeshaji na  mkufunzi kutoka katika Chuo cha Ualimu Nachingwea  Mwl.  Omary Patrick Sadick amewataka washiriki hao kuwahimiza  Wasaidizi wa Walimu Jamii juu ya matumizi ya Shajara ya Taaluma ili kurahisisha  utunzaji  na upatikanaji wa kumbukumbu za ufundishaji na ujifunzaji katika Vituo vya Utayari.

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA MIAKA MITANO YA HOSPITALI YA MJI KIBAHA

    June 27, 2025
  • WANANCHI KATA YA MBWAWA NA VISIGA WAPEWA ELIMU YA BIASHARA,NA UMUHIMU WA KODI KWA MAENDELEO,

    June 26, 2025
  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA WAKIPEWA ELIMU YA MFUMO WA USAJIRI WA MAJENGO ODK

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI KIBAHA IMEVUNJA RASMI BARAZA LA MADIWANI JUNI 17,2025

    June 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa