Mradi wa Ujenzi wa Maabara Kwenye shule za Sekondari 13 za Halmashauri ya Mji Kibaha Ulianza Kutekelezwa Mwezi Novemba,
2015 na Mpaka Kufikia Mwezi 30June,2017 utekelezaji wake ulikua ni Asilimia 100. Aidha,
mpaka sasa Maabara zote zinatumika na zimeweza kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Masomo ya Sayansi kwa Asilimia 18.
Mwaka 2015/2016 wanafunzi walifaulu kwa asilimia 70 tofauti na Mwaka 2016/2017 ambapo wameweza kufaulu kwa Asilimia 88.
Haki Zote Zimahifadhiwa