Miradi itagharamu shilingi milioni 940, Jumla ya vyumba vya madarasa 47 vitajengwa kwenye shule 13 za Halmashauri ya Mji Kibaha. Fedha hizo zinatokana na Jitihada za kukabiliana na UVIKO-19 Tanzania. Aidha, sehemu ya fedha hizo itagharamia ununuzi wa viti na meza za wanafunzi.
| Vyumba viwili vya madarasa Shule ya Sekondari Mbwawa Miswe vyenye thamani ya milioni 40. Hatua ya sasa ni kuanza kufunga lenta. |

Miembe saba Sekondari madarasa matatu yenye thamani ya milioni 60.
|

| Msangani Government sekondari madarasa matatu yenye thamani ya milioni 60, Hatua ilipofikia ni kupandisha kuta |

| Mwambisi Forest Madarasa manne yenye thamani ya milioni 80. Hatua ya sasa ni kupandisha kuta. |

| Pangani sekondari.Madarasa manne yenye thamani ya milioni 80.Madarasa mawili yapo hatua ya kufunga mkanda wa juu,mawili wanapandisha kuta.
|

| Shule ya Sekondari Bundikani.Madarasa matatu yenye thamani ya milioni 60.Hatua ya kupiga lenta
|

Haki Zote Zimahifadhiwa