Karibu kwenye Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kupitia Tovuti hii Rasmi.Ukiwa Manispaa ya Kibaha utajionea fursa za utalii wa ndani,uwekezaji kwenye viwanda vidogo na Vikubwa,Huduma za Kijamii,Biashara,Kilimo cha Matunda na Mbogamboga,Uchimbaji wa Madini bora ya Mchanga,na Usafirishaji wa Ndani na Nje ya Manispaa ya Kibaha.Aidha,utaona Matangazo mbalimbali ya Zabuni,Uuzaji wa Viwanja,Habari za Halmashauri, division, Vitengo, na Mengineyo.Karibu sana.
Dkt. Rogers Jacob Shemwelekwa
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha
Machi, 2024
Haki Zote Zimahifadhiwa