• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Katibu Tawala Mkoa wa Pwani aongoza kikao kazi, awataka viongozi kuongeza vyanzo vya mapato ya ndani

Posted on: July 15th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema leo Julai 15, 2025, ameongoza kikao kazi na viongozi mbalimbali wa Mkoa huo kilicholenga kujitambulisha, kuimarisha mshikamano wa kiuongozi na kuweka msisitizo juu ya utekelezaji wa majukumu ya serikali kwa ufanisi na tija kwa wananchi.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani na kuhudhuriwa na Wakuu wa Sehemu na Vitengo kutoka Sekretarieti ya Mkoa, Makatibu Tawala wa Wilaya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa huo.

Akizungumza wakati wa kikao hicho, Katibu Tawala amesisitiza umuhimu wa kuongeza vyanzo vya mapato kwa kuendelea kubuni na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi wa Mkoa.

“Niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya, hususan katika ukusanyaji wa mapato ambapo mmevuka malengo. Hata hivyo, Mkoa wa Pwani bado una nafasi kubwa ya kuongeza mapato zaidi kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato,” alisema  Mnyema

Aidha, alisisitiza masuala ya uadilifu na uwajibikaji kwa watumishi wa umma, usimamizi madhubuti wa mapato ya ndani, utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa ufanisi, utoaji wa huduma bora kwa wananchi, ushirikiano wa kisekta, matumizi sahihi ya mifumo ya serikali pamoja na utunzaji wa rasilimali na miundombinu ya umma.

“Nisisitize pia umuhimu wa kuheshimiana, kupendana, kuhurumiana na kuweka mahusiano mazuri baina ya viongozi na watumishi, tukiwa wamoja na waadilifu, tutajenga msingi madhubuti wa utekelezaji wa mipango ya serikali kwa mafanikio zaidi,” aliongeza Mnyema.

Akizungumza Kwa niaba ya washiriki wa kikao hicho, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kibaha Regina Bieda alimshukuru Katibu Tawala kwa miongozo na maelekezo aliyoyatoa na akaahidi kuwa viongozi na watumishi wataendelea kuyatekeleza kwa bidii na uaminifu ili kuleta matokeo chanya kwa maendeleo ya Mkoa wa Pwani.

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Katibu Tawala Mkoa wa Pwani aongoza kikao kazi, awataka viongozi kuongeza vyanzo vya mapato ya ndani

    July 15, 2025
  • Mnyema Atoa wito Ushirikiano Watumishi

    July 14, 2025
  • Waganga wakuu Tanzania wamtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Tuzo, Dkt Mpango atoa maagizo.

    July 12, 2025
  • Wananchi Manspaa ya Kibaha kunufaika na Huduma Bora, baada ya mji kupandishwa hadhi ya kuwa manspaa

    July 12, 2025
  • Tazama Zote

Video

Watendaji wa Kata Manspaa ya Kibaha waibua mazito mafunzo mbeya
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa