• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DKR.Shemwalekwa afanya ziara ya kikazi kata ya Picha ya Ndege

Posted on: November 15th, 2025

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, akiwa ameambatana na Wakuu wa Divisheni na Vitengo mbalimbali, amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Picha ya Ndege yenye lengo lakutembelea na  kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoendelea katika kata hiyo.

Katika ziara hiyo, Dkt. Shemwelekwa ametembelea miradi ya uchongaji barabara(milioni 30 mapato ya ndani) ujenzi wa vituo vya kibiashara kwa mbonde ( milioni 562.5 mapato ya ndani) , pamoja na ukamilishaji wa chumba kimoja cha darasa katika Shule ya Msingi Lulanzi ( milioni 8 mapato ya ndani).

Aidha, amekagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Hospitali ya Wilaya ( Milioni 706.7 mapato ya ndani na Serikali kuu, Ununuzi wa Vifaa tiba,( milioni 300 Serikali kuu) , Ofisi ya Kata ya Picha ya Ndege ( milioni 24.5 mapato ya ndani)na ujenzi wa chumban kimoja Cha darasa shule ya msingi Mkuza (milioni 20 mapato ya ndani)

Vilevile, Mkurugenzi huyo alifanya mkutano wa hadhara uliolenga kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wa Kata ya Picha ya Ndege, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wananchi na Serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo.

Kwa ujumla, Dkt. Shemwelekwa amekagua miradi minane  yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6 , ikijumuisha miradi inayotekelezwa kupitia mapato ya ndani ya Manispaa pamoja na michango kutoka Serikali Kuu.

Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo, Dkt. Shemwelekwa amewataka viongozi wa Kata na Mitaa kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa, ili wananchi waweze kunufaika moja kwa moja na huduma bora za kijamii.

Ziara hiyo ni sehemu ya ratiba ya ukaguzi wa miradi katika Kata 7 za Manispaa ya Kibaha, ikiwa na lengo la kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kubaini changamoto zinazokwamisha kasi ya maendeleo ya wananchi.

Na kuzitatua.

Wananchi wa Kata ya Picha ya ndege wamempongeza Mkurugenzi huyo Kwa kutembelea miradi na kutatua Kero zinazowakabili.


Matangazo

  • Walioteuliwa kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 October 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KARIBU sana Kibaha

    November 16, 2025
  • DKR.Shemwalekwa afanya ziara ya kikazi kata ya Picha ya Ndege

    November 15, 2025
  • TUNZENI miundombinu ya maendeleo

    November 15, 2025
  • MKURUGENZI Kibaha aagiza kurudiwa uchongaji barabara

    November 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

MUBASHARA RAIS DKT. SAMIA ANAWAAPISHA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI - NOVEMBA 18, 2025
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa