• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mh. Mchengerwa Aipongeza Sekondari ya Kibaha atoa Maagizo

Posted on: July 9th, 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka.

Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua  miundombinu ya madarasa, mabweni,maabara na baadaye kushuhudia wanafunzi waliokuwa wakijiunga na kuzungumza na walimu wa shule hiyo.

Waziri Mchengerwa amesema ameridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na walimu hao kwani katika kipindi chote shule imekuwa miongoni mwa shule zenye matokeo mazuri nchini.

Amesema kutokana na ongezeko la wanafunzi wa kidatu cha tano kwa mwaka huu, walimu wanatakiwa kuweka mikakati madhubuti ili kuhakikisha wanabaki katika kiwango kilekile cha ufaulu.

"Natambua safari hii tumeongeza wanafunzi wa kidato cha tano hakikisheni mnakuja na mikakati ambayo itamaintain kiwango kilekile." Amesisitiza Mhe. Mchengerwa

Kwa mujibu wa Afisa Elimu wa Mkoa wa Pwani Jimmy Daudi Nkwamu ufaulu wa kidatu cha sita mwaka huu ni asilimia 93.7 ambapo wanafunzi 136 kati ya wanafunzi 140 wqmepaata daraja la kwanza.

Kwa upande wa matokeo ya kidatu cha nne  kwa mwaka 2024 amesema asilimia 52 ya wanafunzi wote walipata daraja la kwanza huku kukiwa hakuna daraja la tatu, nne na sifuri.

Aidha, Mhe. Mchengerwa amemuelekeza Afisa Elimu wa Mkoa wa Pwani kuhakikisha anafanya ziara katika  wilaya zote za Mkoa huo na kubaini changamoto zote ili kuzipatia ufumbuzi.

"Ninakutaka kutoka ofisini na kwenda kwenye Wilaya zote kuona kama kuna changamoto na  kutafuta ufumbuzi mara moja." Amefafanua Waziri Mchengerwa

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mh. Mchengerwa Aipongeza Sekondari ya Kibaha atoa Maagizo

    July 09, 2025
  • Mratibu wa mapato Manspaa ya Kibaha awataka watendaji kuanza utekelezaji/ ampongeza Weo misugusugu

    July 09, 2025
  • Mafunzo Kwa vitendo

    July 09, 2025
  • Taka Ngumu ni fursa Kwa maendeleo

    July 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

Watendaji wa Kata Manspaa ya Kibaha waibua mazito mafunzo mbeya
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa