• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATENDAJI wa Kata Manspaa ya Kibaha watembelea Halmashauri ya Mji Tunduma

Posted on: July 9th, 2025

Tunduma, Songwe – Watendaji wa Kata kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wameendelea na ziara yao ya kikazi katika Halmashauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kujifunza mbinu mbalimbali za ukusanyaji wa mapato, hususan katika eneo la maegesho ya magari.


Katika ziara hiyo ya mafunzo, watendaji hao walipata elimu ya kina kuhusu mbinu bora za ukusanyaji wa mapato ya maegesho ya magari. Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wa kitaalamu na kimkakati ili kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato katika Manispaa ya Kibaha.


Baada ya mafunzo ya darasani, wamepata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya maegesho ya magari yanayosimamiwa na Halmashauri ya Mji Tunduma, ambapo walijionea kwa vitendo namna halmashauri hiyo inavyoweza kukusanya mapato makubwa kutokana na chanzo hicho cha mapato.


Watendaji hao pia walitembelea eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia na kushuhudia kwa vitendo jinsi mapato ya maegesho ya magari yanavyosaidia kuongeza pato la taifa kupitia shughuli za usafirishaji na biashara mpakani.


Vilevile, wamejionea mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na mapato hayo, ikiwemo ujenzi wa shule nne za sekondari za ghorofa ambazo zimejengwa kwa lengo la kupunguza changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kufuata elimu ya sekondari.


Akizungumza mara baada ya mafunzo hayo mratibu wa mapato Manspaa ya Kibaha mwl Isihaka Mwalimu amesema   amesema kuwa wamefurahishwa na mafunzo waliyoyapata na wamejipanga kuyatumia ipasavyo katika Manispaa ya Kibaha ili kuongeza mapato na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.


Ziara hiyo ni sehemu ya mkakati wa Manispaa ya Kibaha wa kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa lengo la kuongeza uwezo wa kifedha wa halmashauri na kuchochea maendeleo.

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Manspaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa awataka Wananchi kuchangamkia fursa za kibiashara Manspaa ya Kibaha

    July 10, 2025
  • WATENDAJI wa Kata Manspaa ya Kibaha watembelea Halmashauri ya Mji Tunduma

    July 09, 2025
  • Mh. Mchengerwa Aipongeza Sekondari ya Kibaha atoa Maagizo

    July 09, 2025
  • Mratibu wa mapato Manspaa ya Kibaha awataka watendaji kuanza utekelezaji/ ampongeza Weo misugusugu

    July 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

Watendaji wa Kata Manspaa ya Kibaha waibua mazito mafunzo mbeya
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa