SHERIA NDOGO.
Halmashauri husimamia na kutekeleza shughuli mbalimbali kwa kutumia sheria ndogo ambazo zimetungwa na kitengo hiki na kupitishwa. Baadhi ya Sheria hizo ni pamoja na;
• Sheria ndogo za ushuru wa kituo cha mabasi
• Sheria ndogo za kodi ya majengo
• Sheria ndogo za ushuru wa madini ya ujenzi
• Sheria ndogo za ada na ushuru
• Sheria ndogo za uandikishaji wa magari ya biashara
• Sheria ndogo za ushuru wa mazao
• Sheria ndogo za usafi wa mazingira
• Sheria ndogo za kudhibiti uwekaji wa mabango na matangazo
• Sheria ndogo za ada ya machinjio
• Sheria ndogo za kodi ya hudumaMkuu wa Kitengo: MANSUETHA MBENA
Kibaha Town Council
Anuani ya Posta: P.0.Box 30112
Simu: 023 240 2938
Simu ya Kiganjani: Mkurugenz0715390421
Barua Pepe: td.kibaha@pwani.go.tz & td@kibahatc.go.tz. SIMU: Afisa Mipango Miji: 0754002729 & Afisa Ardhi: 0767506970
Haki Zote Zimahifadhiwa