Miradi yote iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru Kibaha Mji leo tarehe 29/07/2019 yenye thamani ya Tshs. billion 2.464 imeonekana kukidhi vigezo hivyo basi mradi mmoja umezinduliwa, mmoja umefunguliwa, miwili imewekwa mawe ya msingi na saba imetembelewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 kitaifa Mzee Mkongea Ali.
Aidha Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Mzee Mkongea Ali, amewapongeza Viongozi wote wa Kibaha Mji kwa Kuwa na miradi yenye thamani ya pesa na inayokidhi vigezo pia amewataka viongozi hao kupitia wataalamu kurekebisha kasoro ndogondogo zote walizoziona na kuzisemea.
Kibaha Town Council
Anuani ya Posta: P.0.Box 30112
Simu: 023 240 2938
Simu ya Kiganjani: Mkurugenz0715390421
Barua Pepe: td.kibaha@pwani.go.tz & td@kibahatc.go.tz. SIMU: Afisa Mipango Miji: 0754002729 & Afisa Ardhi: 0767506970
Haki Zote Zimahifadhiwa