Karibu kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha kupitia Tovuti hii Rasmi.Ukiwa Kibaha Mji utajionea fursa za utalii wa ndani,uwekezaji kwenye viwanda vidogo na Vikubwa,Huduma za Kijamii,Biashara,Kilimo cha Matunda na Mbogamboga,Uchimbaji wa Madini bora ya Mchanga,na Usafirishaji wa Ndani na Nje ya ya Wilaya ya Kibaha.Aidha,utaona Matangazo mbalimbali ya Zabuni,Uuzaji wa Viwanja,Habari za Halmashauri Kiidara na Vitengo na Mengineyo.Karibu sana
Jenifa C. Omolo
Mkurugenzi wa Mji Kibaha
December, 2020
Kibaha Town Council
Anuani ya Posta: P.0.Box 30112
Simu: 023 240 2938
Simu ya Kiganjani: Mkurugenz0715390421
Barua Pepe: td.kibaha@pwani.go.tz & td@kibahatc.go.tz. SIMU: Afisa Mipango Miji: 0754002729 & Afisa Ardhi: 0767506970
Haki Zote Zimahifadhiwa