Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha,anawatangazia wafanyabiashara wote waliojenga vibanda vyao vya Biashara ndani ya Eneo la Hifadhi ya Barabara kuondoka mara moja ili kupisha ujenzi wa barabara za Magari ya Mwendokasi kutoka Kibaha Mpaka Chalinze.
Haki Zote Zimahifadhiwa