HALMASHAURI YA MJI KIBAHA
TANGAZO KWA UMMA
UPIMAJI WA MAENEO ILI KUPATA HATI MILIKI
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI KIBAHA, ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE MAENEO KATIKA MJI WA KIBAHA KUPIMA MAENEO YAO NA
KUPATA HATI MILIKI AMBAZO ZITAWEZESHA KUPATA MKOPO KUTOKA ASASI MBALIMBALI ZA KIFEDHA.
WANANCHI WENYE MAENEO AMBAYO HAYAJAPIMWA MNASHAURIWA KUTUMIA FURSA HII YA ARDHI NI MTAJI WA KUJIKOMBOA KIUCHUMI.
KWA MAELEZO ZAIDI, TEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MJI KIBAHA KUPATA MAELEKEZO YA KITAALAM PAMOJA NA UTARATIBU WA JINSI YA KUFANYA KAZI HIYO.
“ITUMIE ARDHI YAKO KAMA DHAMANA”
LIMETOLEWA NA;
MKURUGENZI WA MJI
HALMASHAURI YA MJI KIBAHA
Haki Zote Zimahifadhiwa