MUHIMU MUHIMU MUHIMU
KWA WATUMIAJI WA KOMPYUTA
Watumishi wote mnaotumia Kompyuta katika Mtandao mnajulishwa kutokufungua viambatanisho (attachments) Kutoka kwenye vyanzo (sources) msizozijua.
Kuna Virus hatari Duniani anazunguka kwani tutaweza kuwa wathirika na huyo virus mda wowote.
Tafadhali mjulishe na mwenzio. Kwa maelezo Zaidi Fungua Hapa: Security Advisory (eGASEC03167) on Unpatched Windows Operating Systems Under Attack Worldwide.pdf
Picha ya Kompyuta iliyo athirika;
Mwalongo, Lauriano
Afisa TEHAMA
Halmashauri ya Mji Kibaha
Haki Zote Zimahifadhiwa