Afisa Elimu(S) Kibaha Mji Bi.Rosemary Msasi akikabidhi tuzo ya ufanisi katika matokeo ya Mtihani ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2018 kwa Mwenyekiti wa kikao cha wataalam ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Bi. Jenifa C. Omolo ambapo Halmashauri ya Mji Kibaha imeshika nafasi ya 7 kidato cha nne na kushika nafasi ya 10 kidato cha pili kitaifa katika matokeo ya Mitihani hiyo na kutunukiwa na serikali.
Haki Zote Zimahifadhiwa