Madereva wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wanashiriki kikamilifu katika kongamano la nne la madereva wa serikali linalofanyika jijini Dodoma.