• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Shule za Manispaa ya Kibaha zatakiwa kutoa elimu Bora ili wahitimu waweze kuingia ushindani Soko la ajira-Dkt Rogers shemwelekwa

Posted on: September 15th, 2025

SHULE za Manispaa ya Kibaha zimetakiwa kutoa elimu inayozingatia ubora ili wahitimu waweze kuingia kwenye ushindani wa kitaaluma.


Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt Rogers  ameyasema hayo Kibaha wakati wa Mahafali ya darasa la saba ya Shule za Msingi Kibaha Independent School (KIPS) Main, Annex na Msangani.


Shemwelekwa amesema kuwa elimu fanisi ni nzuri kwani inamfanya mwanafunzi anapata ujuzi wa kila sehemu hivyo kuweza kuendana na hali ya sasa ya kiteknolojia.


"Tumeona pale wanafunzi wanajifunza darasani, wanajifunza teknolojia na wanajifunza ujuzi mbalimbali hali inayomfanya muhitimu kumudu mazingira yote,"amesema Shemwelekwa.


Kwa upande wake kaimu Ofisa Elimu Msingi kutoka Manispaa ya Kibaha, Adinani Livamba amesema kuwa kwa mwaka huu jumla ya wanafunzi 6,537 wakiwemo 1,132 kutoka shule binafsi wamehitimu elimu ya Msingi.


Naye Mwenyekiti wa Makampuni ya Njuweni Alhaj Yusufu Mfinanga amesema kuwa kupitia shule hizo za KIPS watatoa ufadhili kwa wanafunzi 12 watakaopata ufaulu wa daraja A kusoma bure kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kwenye Shule za Sekondari ya Vuchama Ugweno Islamic iliyopo Mwanga Mkoani Kilimanjaro.


Awali mwalimu Mkuu wa Shule ya KIPS Annex yalipofanyika mahafali hayo Ramadhan Kitambi amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano shule hizo zimekuwa zikifanya vizuri kitaaluma kwenye Manispaa, 


Mkoa na Kitaifa kwa kupata daraja A bora zaidi6 na kuwataka wazazi na walezi kushirikiana na uongozi wa shule hizo ili kuendelea kupata matokeo mazuri ambapo jumla ya wahitimu 160 walitunukiwa vyeti vya kumaliza elimu ya msingi.

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO MWAKA -2050 July 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Shule za Manispaa ya Kibaha zatakiwa kutoa elimu Bora ili wahitimu waweze kuingia ushindani Soko la ajira-Dkt Rogers shemwelekwa

    September 15, 2025
  • Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha yakamilisha Mradi wa Utambuzi wa Wananchi kupima, kupanga na kukabidhi Kwa Wananchi

    September 11, 2025
  • Dc Kibaha awataka watendaji wa Kata kuhakikisha Wanafunzi wanapata chakula Bora shuleni

    September 08, 2025
  • Madereva wa Halmashauri ya Manispaa Kibaha wanashiriki kongamamano

    September 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

MUBASHARA MAHAFALI YA SHULE YA MSINGI KIPS KIBAHA, MGENI RASMI MKURUGENZI WA MANISPAA YA KIBAHA DKT ROGERS SHEMWELEKWA
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa