Jengo la utawala kwenye stendi mpya ya Halmashauri ya Mji Kibaha limekamilika kwa 99% ambapo 1% ya mapungufu yaliyojitokeza yatakamilishwa ndani ya siku 7 kuanzia leo .Jengo hili limejengwa na Maski &Sons Construction Co.LTD kwa gharama ya Sh. 425,237,780 pamoja na VAT huku likitumia miezi 4 tu mpaka kukamilika kwake. Aidha,jengo hili la kisasa linahusisha sehemu ya abiria kupumzika,ofisi 10 za kukatia tiketi,mghahawa na jiko.
Haki Zote Zimahifadhiwa