• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA CCM-TAIFA ATEMBELEA MAONYESHO ,PWANI

Posted on: October 8th, 2022

Na Byarugaba Innocent,Pwani

Katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi -Taifa Comred Shaka Hamdu Shaka,Leo Jumapili Oktoba 9 amefika kujionea maonyesho ya Uwekezaji na Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Stendi ya Zamani Kibaha Mkoani Pwani

Maonyesho haya  yamezinduliwa Oktoba 5,2022 na Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete yakiwa na kauli mbiu isemayo;Pwani ni sehemu sahihi kwa uwekezaji,pamoja tujenge Viwanda kwa uchumi na ajira endelevu huku ikishirikisha kampuni,Mashirika na taasisi mbalimbali.

Shaka aliyepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Sara Msafiri na kuongozwa kutembelea Mabanda ya washiriki  ameridhishwa na Maonyesho haya kwani yameandaliwa muda muafaka kuchagiza uwekezaji hasa wa Viwanda nchini.

Aidha,Shaka amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Abubakary Kunenge kwa kufanikisha maonyesho haya

Akiwa katika Banda la Wizara ya Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi amezipongeza Halmashauri zote tisa za  Mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na Wizara  kuwa na Mpango kabambe wa  kupanga,kupima na kutenga maeneo maalum ya uwekezaji wa Viwanda

Hali kadhalika,Comred Shaka Hamdu Shaka  ameridhishwa na  kiwanda Kipya cha Azam kinachozalisha Sukari ya Bagamoyo  na kwamba kimepanua wigo wa upatikanaji wa mahitaji ya Sukari,kutoa ajira kwa wananchi hasa Vijana na kuongeza Mapato ya Serikali kwani watalipa kodi

Aidha,ametoa rai kwa wananchi kuhudhuria na Maonyesho hayo ili kupata teknolojia mpya ya kuandaa bidhaa tofauti zinazoendana na mahitaji ya Dunia ya leo

Maonyesho haya ya Viwanda Mkoa wa Pwani yanafanyika kwa mara ya tatu yatafikia  tamati siku ya Jumatatu Oktoba 10,2022

Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUSER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI

    November 21, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa