• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI Kibaha aagiza kurudiwa uchongaji barabara

Posted on: November 15th, 2025

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, ameonesha kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa uchongaji wa barabara katika mitaa ya Machinjioni na Kilimahewa, na kuagiza kazi hiyo irudiwe mara moja ili iwe katika kiwango kinachokidhi malengo ya serikali.

Dkt. Shemwelekwa ametoa agizo hilo tarehe 13/11/2025 katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Kata ya Tangini, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi inayoendelea katika maeneo Kata mbalimbali ya Manispaa ya Kibaha.

Amesema kuwa, barabara hizo ambazo zinagharimu shilingi milioni 30 kupitia mapato ya ndani ya Manispaa hiyo, hazijachongwa kwa ubora unaotakiwa na hivyo hazijakidhi lengo la serikali la kutatua kero za wananchi.

“Ndugu viongozi, nimekagua mradi huu wa barabara na niseme wazi sijaridhishwa na kazi iliyofanyika. Lengo la serikali ni kutatua kero za wananchi, lakini kwa hali hii sioni kama tatizo limepatiwa suluhisho. Naagiza mtendaji wa kata kuhakikisha barabara hizi zinachongwa upya, na nitarejea tena kukagua utekelezaji wake,” amesema Dkt. Shemwelekwa.

Aidha, Mkurugenzi huyo amewataka wananchi pamoja na viongozi wa ngazi ya kata na mitaa kuhakikisha fedha zinazotolewa kwa ajili ya miradi ya maendeleo zinatumika ipasavyo kwa malengo yaliyokusudiwa.

Katika hatua nyingine, Dkt. Shemwelekwa ameidhinisha ujenzi wa makaravati mawili eneo la shule ya msingi Mamlaka na kivuko Cha Kwa kwembe, katika maeneo yenye changamoto za mifereji ya maji, ili kupunguza kero zinazowakabili wananchi.

Manispaa ya Kibaha imetoa jumla ya shilingi milioni 420 kutoka chanzo Cha  mapato ya ndani kwa ajili ya kutengeneza barabara za mitaa, ambapo kila kata imepatiwa shilingi milioni 30 ili kutatua changamoto za miundombinu kwa wananchi wake.


Matangazo

  • Walioteuliwa kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 October 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KARIBU sana Kibaha

    November 16, 2025
  • DKR.Shemwalekwa afanya ziara ya kikazi kata ya Picha ya Ndege

    November 15, 2025
  • TUNZENI miundombinu ya maendeleo

    November 15, 2025
  • MKURUGENZI Kibaha aagiza kurudiwa uchongaji barabara

    November 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

MUBASHARA RAIS DKT. SAMIA ANAWAAPISHA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI - NOVEMBA 18, 2025
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa