• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MSD Yawahakikishia Wananchi Huduma Bora kwa Viwango vya Kimataifa

Posted on: August 25th, 2023

Na Mwandishi wetu- Dodoma


Bohari ya Dawa (MSD) imewahakikishia wananchi huduma bora   zinazokidhi  viwango vya Kimataifa kutokana na hatua zilizochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuimarisha utendaji wake.
Akieleza hatua hizo leo Agosti 24, 2023 jijini Dodoma wakati wa mahojiano maalum na Idara ya Habari (MAELEZO), Mkurugenzi Mkuu wa Bohari hiyo Bw. Mavere Tukai amesema, MSD inatekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa maghala  ya kisasa ya kuhifadhi bidhaa za afya katika mikoa  mitano ikiwemo  Dodoma na Mtwara ambapo mkandarasi ameanza kazi ya ujenzi.
“Mradi huu hapa jijini Dodoma na kule mkoani Mtwara inagharimu shilingi Bilioni 39 ikiwa ni sehemu ya mradi wa ujenzi wa maghala matano tuliyopanga kujenga katika Ofisi za Kanda katika mikoa ya Mwanza, Kagera na Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha huduma zetu kwa kuzisogeza zaidi kwa wananchi, kupanua uwezo wa miundombinu yetu hali itakayopunguza umbali wa kufuata bidhaa za afya Dar es Salaam”, amesisitiza Bw. Tukai.
Akieleza zaidi, Bw.Tukai  amesema, maghala hayo yatakapokamilika yatakuwa na uwezo wa kutoa huduma kama ilivyo ghala la Dar es Salaam, hivyo uwekezaji huu utakuwa na faida nyingi ikiwemo kupunguza gharama za uendeshaji, kusogeza zaidi huduma kwa wananchi, kupunguza muda wa kufikisha bidhaa za afya kwa watoa huduma, kuwepo kwa mifumo ya kisasa ya TEHAMA na kuongeza uwezo wa kuhifadhi bidhaa za afya kwa kuzingatia viwango vya kimatifa.

Sanjari na faida za uwekezaji huo, Bw. Tukai ameongeza kuwa, MSD imejipanga kujiendesha kibiashara hivyo kutimiza azma ya kunzishwa kwake kwa kutoa huduma bora kwa wananchi na kuzalisha faida itakayosaidia kuimarisha zaidi huduma zake kwa wananchi.
“Hatua hizi zitaenda sambamba na kujiimarisha katika utoaji wa huduma Kimataifa hasa katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambazo tuna jukumu la kuzihudumia”, alisisitiza Bw. Tukai.

Aidha, Bw. Tukai amesema kuwa MSD imechukua hatua za kubana matumizi yasiyo ya lazima ili kuongeza tija.
Ujenzi wa Maghala yote matano utakapokamilika unakadiriwa  kugharimu Serikali kati ya Shilingi Bilioni 90 hadi 95 za Kitanzania hali itakayoiwezesha MSD kuimarisha zaidi utendaji wake  kwa kutumia mifumo ya kisasa zaidi katika utoaji wa huduma zake..

Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUSER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI

    November 21, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa