• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

REDESO NA MKAKATI WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI NA SALAMA TANZANIA

Posted on: November 6th, 2024

REDESO NA MKAKATI WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI NA SALAMA TANZANIA


Na Byarugaba Innocent, Kibaha


Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe,wakulima wa mbogamboga na madereza wa bodaboda 250 yenye lengo la kubadili mtazamo wa Matumizi ya Nishati chafu  kuunga Mkono jitihada za Serikali kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi.


Mafunzo haya yanaendelea kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kibaha yakilenga kuhama kutoka kwenye Matumizi ya Nishati chafu kwenda safi kwa gharama nafuu na endelevu kwa kutumia rasilimali zinazopatikana kwenye Mazingira husika.


Mkurugenzi Mtendaji wa REDESO Abeid Kasaizi amesema shirika limeanza na Kibaha Kata  ya Mkuza ambapo asilimia 62 ya watu waliohojiwa kuhusu Nishati Safi wamekiri kutoitambua


Aidha, Kasaizi amesema lengo la kuchagua kundi  la Vijana wanaojishughulisha na ujasilimia wa bodaboda ni kutaka kuwahamisha kutoka kwenye Matumizi ya mafuta na kwenda kwenye Matumizi ya gesi na umeme na kundi la Mama lishe ni kuwahamisha kutoka kwenye Matumizi ya Kuni na Mkaa kwenda kwenye Matumizi ya Majiko banifu yanayotumia Mkaa kidogo ama teknolojia nyingine rafiki ya Nishati Safi.


Mzumbe Mussa, Mtaalam wa Nishati Safi na salama ameeleza kuwa Nishati ni ile inayozalishwa kutokana na Vyanzo ambayo ni rafiki wa Mazingira,havichafui hewa,Maji na Ardhi ili kuepukana na madhara ya muda mrefu kwa Maendeleo endelevu huku akizitaja kuwa ni Nishati ya jua, upepo, Maji,Joto Ardhi na Nishati inayotokana na viumbe hai.


Debetria Dionizi amelipongeza shirika Hilo kwa kutoa Mafunzo hayo na kwamba yamekuja kwa wakati sahihi kwani Matumizi ya Nishati Safi yatamuepusha na madhara ambayo amekuwa akiyapata kiafya,kumpunguzia gharama za Manunuzi ya Kuni na Mkaa na kumwongezea kipato kwani Sasa chakula kitaiva na kuwafikia wateja kwa wakati na kutoa wito kwa Serikali kuweka ruzuku kwenye Manunuzi ya gesi


Mkurugenzi wa REDESO Abeid Kasaizi taasisi yake yenye ufadhiri kutoka International Development Research Centre IDRC.CRDI ya nchini Canada itaendelea kutoa Mafunzo haya ili kuwafikia Watanzania wote kupitia vyuo vya VETA ikiwa ni kuunga Mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan aliyetangazwa hivi karibuni kuwa Kinara na Mpambanaji wa Nishati safi na Salama Afrika




Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUSER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI

    November 21, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa