• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO KIBAHA WAFANYA ZIARA YA UTALII WA NDANI MIKUMI

Posted on: July 5th, 2025

akuu wa Divisheni na Vitengo Kibaha Wafanya Ziara ya Utalii wa Ndani Mikumi


Mikumi, Tanzania – Julai 5, 2025


Wakuu wa Divisheni na Vitengo kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wametembelea Mbuga ya Wanyama ya Mikumi katika ziara maalum yenye lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kukuza sekta ya utalii nchini.


Ziara hii imeongozwa na Afisa Utumishi wa Manispaa hiyo, Bw. Mrisho Mlela, ambaye amesema kuwa kama menejimenti wameamua kuwa sehemu ya juhudi za serikali kwa njia ya vitendo, kwa kuwahamasisha watumishi kushiriki katika utalii wa ndani.


"Tumeona ni muhimu sisi kama viongozi na watumishi wa umma kuonesha mfano kwa kutembelea vivutio vya ndani ya nchi. Hii ni njia mojawapo ya kuunga mkono kampeni ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuhamasisha utalii wa ndani, ambayo inalenga kuongeza mapato ya ndani kupitia sekta hii muhimu," alisema Bw. Mlela.


Ziara hiyo pia inawapa nafasi washiriki kujifunza zaidi kuhusu uhifadhi wa wanyamapori, pamoja na fursa mbalimbali zinazopatikana kupitia utalii wa ndani.


Mbuga ya Mikumi ni mojawapo ya vivutio maarufu vya utalii nchini, inayopatikana katika mikoa ya Morogoro na Pwani, na ina aina mbalimbali za wanyama kama tembo, simba, twiga, pundamilia na nyati na wengine wengi.


Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIBAHA WAMSHUKURU MKURUGENZI DKT. SHEMWELEKWA KWA SAFARI YA MAFUNZO

    July 06, 2025
  • Watendaji wa Kata Manispaa ya Kibaha Katika Ziara ya Mafunzo Jijini Mbeya

    July 07, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO KIBAHA WAFANYA ZIARA YA UTALII WA NDANI MIKUMI

    July 05, 2025
  • TIMU YA UKUSANYAJI MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIBAHA YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO JIJINI ARUSHA

    July 04, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa