• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TANGAZO KWA UMMA

13 June 2017

KUTOKANA NA MLIPUKO WA UGONJWA WA HOMA YA NGURUWE (AFRICAN SWINE  FEVER) AMBAO UMESABABISHA VIFO VINGI VYA NGURUWE KATIKA MJI WA KIBAHA,

HALMASHAURI IMETOA MAELEKEZO YAFUATAYO;-

1. IMEZUIA USAFIRISHAJI (KUTOKA ENEO MOJA KWENDA ENEO JINGINE NDANI AU NJE YA MJI WA KIBAHA),

     UCHINJAJI NA UUZAJI WA NYAMA YA NGURUWE KATIKA MAENEO YOTE YA MJI WA KIBAHA HUSUSAN KATIKA MAENEO YA BAA, ‘GROCERY’ NA KWINGINEKO

2. WANANCHI WOTE KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI JUU YA UUZWAJI WA NYAMA KIHOLELA KATIKA MAENEO TUNAYOISHI(ILI KUEPUKA KULA MIZOGA)

    NA KUTOA TAARIFA KWA MAAFISA MIFUGO/WATAALAM WA AFYA, OFISI ZA KATA,  MITAA  AU VITUO VYA POLISI PALE INAPOBAINIKA AGIZO HILI KUKIUKWA.

3. WATAALAM WA MIFUGO KATIKA MITAA, KATA NA HALMASHAURI WAENDELEE KUWATEMBELEA WAFUGAJI (HUSUSAN WA NGURUWE)

    NA WANACHI KWA UJUMLA NA KUTOA ELIMU JUU YA CHANZO, DALILI ZA UGONJWA, MADHARA NA NAMNA YA KUUDHIBITI.

    ZINGATIA: AGIZO HILI NI KWA MJIBU WA ‘’SHERIA NAMBA 17, YA MAGONJWA YA MIFUGO YA MWAKA 2003’’.

    AIDHA KATAZO HILI LITADUMU KWA MUDA HADI PALE  ITAKAPOTHIBITIKA KWAMBA UGONJWA HUO UMEDHIBITIWA VYA KUTOSHA KATIKA

    MAENEO YOTE YA MJI WA KIBAHA, NA TAARIFA ITATOLEWA.


LIMETOLEWA NA;

KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO (ICT & Public Relation)

HALMASHAURI YA MJI KIBAHA



Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Waganga wakuu Tanzania wamtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Tuzo, Dkt Mpango atoa maagizo.

    July 12, 2025
  • Wananchi Manspaa ya Kibaha kunufaika na Huduma Bora, baada ya mji kupandishwa hadhi ya kuwa manspaa

    July 12, 2025
  • Mkurugenzi Manspaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa awataka Wananchi kuchangamkia fursa za kibiashara Manspaa ya Kibaha

    July 10, 2025
  • WATENDAJI wa Kata Manspaa ya Kibaha watembelea Halmashauri ya Mji Tunduma

    July 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

Watendaji wa Kata Manspaa ya Kibaha waibua mazito mafunzo mbeya
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa