• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu ya Msingi

Majukumu ya Afisa Elimu Msingi ni; 

  • Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo, Sheria na kanuni zinazoongoza utoaji wa Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu utoaji wa Elimu ya Msingi na Awali katika Halmashauri;
  • Kusimamia na kudhibiti matumizi  ya fedha za elimu kwa mujibu wa miongozo ya fedha za Serikali;
  • Kuratibu upanuzi wa Elimu katika ngazi ya Elimu ya Awali, Elimu ya Msingi, Elimu ya Watu Wazima na Vituo vya Ufundi Stadi;
  • Kufuatilia na kutathmini maendeleo ya elimu katika Halmashauri ili kutoa ushauri wa kitaaluma kuhusu utoaji wa elimu nchini;
  • Kutayarisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya elimu kila mwaka;
  • Kuhakikisha kwamba shule zote zinainua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kufundishia; katika Halmashauri.
  • Kusimamia udhibiti wa nidhamu, wajibu na haki za walimu na wanafunzi;
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya Darasa la Nne, Darasa la Saba, na Mitihani ya vituo vya Ufundi Stadi katika halmashauri kwa kushirikiana na uongozi wa Elimu Mkoa na Baraza la Mitihani la Tanzania;
  • Kufuatilia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa Shule na kuishauri Halmashauri kuhusu mbinu za kuinua taaluma na michezo na ubora wa Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi;
  • Kukusanya, kuratibu na kuchambua takwimu za elimu katika Halmashauri kwa ajili ya Mipango ya maendeleo katika ngazi ya shule, Halmashauri, Mkoa na Taifa;
  • Kufanya kazi nyingine kama utakavyoelekezwa na Mkururgenzi Mtendaji wa Halmashauri.

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Manspaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa awataka Wananchi kuchangamkia fursa za kibiashara Manspaa ya Kibaha

    July 10, 2025
  • WATENDAJI wa Kata Manspaa ya Kibaha watembelea Halmashauri ya Mji Tunduma

    July 09, 2025
  • Mh. Mchengerwa Aipongeza Sekondari ya Kibaha atoa Maagizo

    July 09, 2025
  • Mratibu wa mapato Manspaa ya Kibaha awataka watendaji kuanza utekelezaji/ ampongeza Weo misugusugu

    July 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

Watendaji wa Kata Manspaa ya Kibaha waibua mazito mafunzo mbeya
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa