MKUU WA IDARA YA MIPANGOMIJI, ARDHI NA MALIASILI
MAJUKUMU/KAZI:
- Mkuu wa idara ya Mipangomiji, Ardhi na Maliasili.
- Kusimamia shughuli zote za Ardhi, Maliasili na Mipangomiji
- Kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za ardhi, mipangomiji,uthamini,upimaji na maliasili
- Kuratibu taarifa za utendaji kazi za vikao vya kamati ya mipangomiji na mazingira pamoja na vikao vya Baraza.
- Kusimamia nidhamu na utendaji kazi kwa watumishi katika Idara
- Kazi nyingine kulingana na kanuni za utumishi wa umma zitakazopangwa na Mkurugenzi wa Mji.
Kibaha Town Council
Anuani ya Posta: P.0.Box 30112
Simu: 023 240 2938
Simu ya Kiganjani: Mkurugenz0715390421
Barua Pepe: td.kibaha@pwani.go.tz & td@kibahatc.go.tz. SIMU: Afisa Mipango Miji: 0754999923 & Afisa Ardhi: 0713957639
Haki Zote Zimahifadhiwa