Halmashauri ya Mji Kibaha inakusudia kutoa eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 2864 katika eneo la Kitovu cha Mji kwa ajili ya Ujenzi wa muda(temporary structure) kwa vibanda vya kuuza vinywaji,chakula,Nyama choma na Michezo ya watoto.Maelezo mengine ni kama yanavyojieleza kwenye kiambata chiniTANGAZO LA ZABUNI.pdf
Haki Zote Zimahifadhiwa