• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya mji kibaha imepokea pikipiki 37 kutoka Serikali kupitia wizara ya kilimo

16 January 2025

NA VICTOR MASANGU, KIBAHA


Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo  37 kutoka serikalini kupitia Wizara ya kilimo kwa lengo la  kuwawezesha maafisa ugani wa kilimo kutoka kata zote 14 kwa ajili ya  kutekeleza majukumu yao kwa weledi na  ufanisi zaidi katika suala la kuwahudumia wakulima na kuleta matokeo chanya katika sekta ya kilimo.


Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha  Nickson John  wakati wa halfa ya kukabidhi pikipiki hizo 37 kwa maafisa ugani hao na kuwatka kuhahakikisha kwamba wanaweka misingi ya kuwa na mikakati kabambe katika kuwa  na  kilimo cha kisasana chenye kuleta tija kwa wakulima.


Mkuu huyo alisema kwamba lengo kubwa la serikali ni kuhakikisha wanaendekea na kufanya juhudi za hali na mali za kuhakikisha inaendelea kuwasajili wakulima wote waweze katika mfumo ambao unatambulika ikiwemo sambamba na kuwapatia pembejeo za kilimo ambazo zitaweza kuwasaidia katika utekelezaji wa majukumu yao.


"Tunapenda kumshukuru kwa dhati Rais wetu wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuongeza bajeti katika sekta ya kilimo pamoja na kutoa vitendea kazi hivi amabvyo ni boda boda 37 kwa maafisa ugani kwa lengo la kuweza kuongeza ufanisi na tija  zaidi katika suala zima la kuwahudumia wakulima waweze kuwa na kilimochenye tija katika maeneo yao,"alisema Simon.


Aidha Mkuu huyo wa Wilaya amebainisha kwamba nia kubwa ya serikali ni kushiikiana bega kwa bega na maafisa ugani katika kuweka mippango endelevu ya kufanya kilimo cha kisasa ambacho kitakuwa ni mkombozi mkubwa kwa wakulima pamoja na wananchi kwa ujumla katika sekta ya kilimo.


Katika hatua nyingine amewaagiza maafisa ugani pamoja na wataalamu wakilimokuhakikisha kwamba wanazitumia vizuri pikipiki hizo kwa kuwafikia walengwa ambao ni wakulima na kwamba dhima kubwa ya serikali ni kuona  kunatokea mabadiliko  zaidi katika maeneo mbali mbali ya Kibaha mji.


Pia Mkuu huyo amemshukuru kwa dhati Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezeha vyombo hivyo vya usafiri ambavyo vitaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutimiza majukumu ya maafisi ugavi hao  ikiwemo pamoja na kuongeza kiwango cha mapato.

Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Kibaha mji Dkt. Rogers Shemwelekwa amebainisha kwamba kwa sasa kuna jumla ya watumishi wa ugani wa kilimo wapatao 41 ambao wanatoa ushauri wa ugani kwa wakulima 7, 528 katika mitaa yote  73 kutoka kata 14.

Pia mkurugezni huyo amebainisha kwamba  kwa sasa halmashauri ya mji Kibaha lina eneo linalofaa kwa kilimo lenye ukumbwa wa wastani wa Hekta zipatazo 7, 750 na kwamba wakulima 3,600 tayari wameorodheshwa katika mfumo wa mbolea na mbegu  za ruzuku katika msimu kwa mwaka 2024/2025 na wanapata mbolea na mbegu za ruzuku.


Pia amesema kuwa Halmashauri ya mji Kibaha kuna fusa mbali mbali na kwamba kuna wakulima wapatao  191 wa zao la korosho  wamefaanikiwa kupata  ruzuku kwa ajili ya zao hilo, ambapo pia wakulima wapatao 6, 709 ni wale wa mbogamboga , na wakulima 628 ni wa mazao ya matunda.

Nao baadhi ya maafisa Ugani katika Halmashauri ya Kibaha mji wamempongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuwawezesha vitendea kazi hivyo vya pikipiki zipatazo 37 ambazo zitaweza kuwasaidia katika suala zima la utekelezaji wa majukumu yao ya kuwahudumia wakulima katika maeneo yao.


Wamebainisha kwamba hapo awali walikuwa wanakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri na kupelekea kushindwa kufika kwa urahisi kwa wakulima lakini kwa sasa wataweza kufanya kazi zao kwa uafanisi mkubwa na kuwafikia  wakulima wao kwa urahisi na kutekeleza maelekezo ya serikali ya kuwahudumia wakulima na kuwa na kilimo chenye tija.

                                                       MWISHO






Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ZOEZI LA MABORESHO YA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA MEI 16 KIBAHA TC

    May 09, 2025
  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa