• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUISER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI Na Byarugaba Innocent, Kibaha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe.Mussa Abdallah Ndomba amekata utepe kuzindua gari Mpya yenye namba za usajili SM 15957 aina ya

21 November 2024

MHE.NDOMBA AZINDUA  GARI MPYA AINA YA LANDCRUISER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI


Na Byarugaba Innocent, Kibaha


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhe.Mussa Abdallah Ndomba amekata utepe kuzindua gari Mpya yenye namba za usajili SM 15957 aina ya Landcruiser hardtop 1HZ iliyonunuliwa kwa gharama ya Shilingi 168,678,800.00 za Mapato ya ndani.


Gari hiyo ambayo itatumiwa na Idara ya Biashara,Viwanda na uwekezaji inakwenda kuongeza kasi kwa Wataalam kuwafikia wafanyabiashara,Wamiliki wa Viwanda na wawekezaji kutoa ushauri wa kitaalam ili kuboresha kazi zao zilete tija kwa Taifa


Mhe.Ndomba ametoa rai kwa Madereva kuwa waaminifu kwa  kuyatunza magari hayo ili yatumike kwa muda mrefu katika kazi za Halmashauri


Aidha,Mhe.Ndomba amempongeza sana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa na watumishi kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutekeleza Miradi ambayo Baraza la Madiwani wamekiwa wakipitisha.


Awali Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa akimkaribisha Mhe.Ndomba kuzindua gari hiyo rasmi alisema kuwa kwa Bajeti ya Mwaka 2024/2025 Baraza la Madiwani lilielekeza kuongeza vitendea kazi ambapo mpaka Sasa tayari kompyuta Mpakato 20 za Kisasa zenye thamani ya Shilingi 55,890,000 zimenunuliwa ili kuongeza kasi ya utoaji huduma kwa wananchi.


Aidha,Dkt.Shemwelekwa ametoa rai kwa Wananchi kulipa Kodi kwa wakati kwani fedha hizo ndizo zinazotumika kuongeza vitendea kazi kuchagiza kasi ya kuwahudumia wananchi kwa wakati


Dkt.Shemwelekwa amemshuru Mwenyekiti wa Halmashauri na Baraza lake kwa ushirikiano mkubwa wanaoendelea kumpa katika kuijenga Kibaha na kwamba ushirikiano huo unaongeza kasi na ari ya kufanyakazi.








Matangazo

  • Walioteuliwa kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 October 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Vikundi vya Jogging Manispaa ya Kibaha vyakimbia mbio fupi na kufanya usafi lengo kuhamasisha Wananchi kushiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu, usafi wa mazingira

    October 18, 2025
  • Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kibaha mjini awahamasisha Wananchi kupiga kura.

    October 16, 2025
  • Heri ya siku ya Nyerere

    October 14, 2025
  • Jeshi la zimamoto na Uokoaji laadhimisha siku ya kupunguza majanga Kwa kufanya shughuli mbalimbali

    October 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

Matangazo Mubashara Hafla ya Utiaji Saini mikataba ya Soko la Mnarani na miundombinu ya Barabara
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa