Tuesday 3rd, December 2024
@Kata ya Kibaha, Viwanja vya Mwendapole
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhi. Assumpter Mshama, wakuu wa idara pamoja na wananchi wakiwa kwenye maadhimisho ya siku ya mwanamke Duniani yanayoadhimishwa kila Mwaka tarehe 08, Machi. Maadhimisho hayo yalifanyika katika viwanja vya Mwendapole, yakiwa na kauli mbiu:
Kuelekea Uchumi wa Viwanda: "Tuimarishe usawa wa jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake Vijijini".
Haki Zote Zimahifadhiwa